sw_tn/ezr/07/25.md

562 B

Maelezo ya kuhusisha

Huu ni mwisho wa agizo la mfalme Artashasta alimpa Ezra

kwa hekima aliyokupa Mungu, inakulazimu kuteua waamuzi na mtu muelewa

Jina "hekima" inaweza kuelezwa kwa neno "busara" na "hekima" AT:"Mungu amekupa hekima, hivyo hekima utateua waamuzi na mtu muelewa"

ikiwezekana kwa kifo, kuhamishwa, kuchukuliwa mali zake au kufungwa.

jina linaweza kutafsiriwa kama kitendo. AT:"uenda kwa kuwaua wao,kuwahamisha,kutowesha vitu vyao, au kuwafunga wao" "unaweza kuwaua wao, kuwafukuza wao, kuchukua vitu wanavyomiliki au kuwaweka gerezani"