sw_tn/ezr/07/25.md

12 lines
562 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya kuhusisha
Huu ni mwisho wa agizo la mfalme Artashasta alimpa Ezra
# kwa hekima aliyokupa Mungu, inakulazimu kuteua waamuzi na mtu muelewa
Jina "hekima" inaweza kuelezwa kwa neno "busara" na "hekima" AT:"Mungu amekupa hekima, hivyo hekima utateua waamuzi na mtu muelewa"
# ikiwezekana kwa kifo, kuhamishwa, kuchukuliwa mali zake au kufungwa.
jina linaweza kutafsiriwa kama kitendo. AT:"uenda kwa kuwaua wao,kuwahamisha,kutowesha vitu vyao, au kuwafunga wao" "unaweza kuwaua wao, kuwafukuza wao, kuchukua vitu wanavyomiliki au kuwaweka gerezani"