# Maelezo ya kuhusisha Huu ni mwisho wa agizo la mfalme Artashasta alimpa Ezra # kwa hekima aliyokupa Mungu, inakulazimu kuteua waamuzi na mtu muelewa Jina "hekima" inaweza kuelezwa kwa neno "busara" na "hekima" AT:"Mungu amekupa hekima, hivyo hekima utateua waamuzi na mtu muelewa" # ikiwezekana kwa kifo, kuhamishwa, kuchukuliwa mali zake au kufungwa. jina linaweza kutafsiriwa kama kitendo. AT:"uenda kwa kuwaua wao,kuwahamisha,kutowesha vitu vyao, au kuwafunga wao" "unaweza kuwaua wao, kuwafukuza wao, kuchukua vitu wanavyomiliki au kuwaweka gerezani"