sw_tn/ezr/06/11.md

20 lines
870 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Hii inaendelea na kumbukumbu ya mfalme Koreshi agizo kwa wayahudi kujenga hekalu la Mungu katika Yerusalem, ambalo lilianza katika 6:3
# nguzo lazima itolewe katika nyumba yake na awekwe juu yake. Na nyumba yake itabadilishwa kuwa katika takataka.
Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"Niliagiza maofisa wangu kutolewa vyuma katika nyumba na iwekwe juu yake. Na baadaye itabadilishwa nyumba kuwa katika takataka"
# nguzo
kipande kirefu cha mbao, kinachosaidia paa la nyumba
# ambaye amenyosha mkono kubadilisha... au kuharibu
Kunyoosha mkono inamaanisha kujaribu kufanya kitu fulani. AT:"ambaye anajaribu kubadilisha... au kuharibu"anayetaka kubadili au kuharibu"
# kubadilisha hili agizo
neno "agizo" linaweza kuelezwa hivi "kitu gani nilichoagiza" AT:"kubadili kitu nilichoagiza" au "kusema kwamba nimeagiza kitu kingine kabisa"