# Taarifa kwa ujumla Hii inaendelea na kumbukumbu ya mfalme Koreshi agizo kwa wayahudi kujenga hekalu la Mungu katika Yerusalem, ambalo lilianza katika 6:3 # nguzo lazima itolewe katika nyumba yake na awekwe juu yake. Na nyumba yake itabadilishwa kuwa katika takataka. Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"Niliagiza maofisa wangu kutolewa vyuma katika nyumba na iwekwe juu yake. Na baadaye itabadilishwa nyumba kuwa katika takataka" # nguzo kipande kirefu cha mbao, kinachosaidia paa la nyumba # ambaye amenyosha mkono kubadilisha... au kuharibu Kunyoosha mkono inamaanisha kujaribu kufanya kitu fulani. AT:"ambaye anajaribu kubadilisha... au kuharibu"anayetaka kubadili au kuharibu" # kubadilisha hili agizo neno "agizo" linaweza kuelezwa hivi "kitu gani nilichoagiza" AT:"kubadili kitu nilichoagiza" au "kusema kwamba nimeagiza kitu kingine kabisa"