sw_tn/ezr/06/11.md

870 B

Taarifa kwa ujumla

Hii inaendelea na kumbukumbu ya mfalme Koreshi agizo kwa wayahudi kujenga hekalu la Mungu katika Yerusalem, ambalo lilianza katika 6:3

nguzo lazima itolewe katika nyumba yake na awekwe juu yake. Na nyumba yake itabadilishwa kuwa katika takataka.

Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"Niliagiza maofisa wangu kutolewa vyuma katika nyumba na iwekwe juu yake. Na baadaye itabadilishwa nyumba kuwa katika takataka"

nguzo

kipande kirefu cha mbao, kinachosaidia paa la nyumba

ambaye amenyosha mkono kubadilisha... au kuharibu

Kunyoosha mkono inamaanisha kujaribu kufanya kitu fulani. AT:"ambaye anajaribu kubadilisha... au kuharibu"anayetaka kubadili au kuharibu"

kubadilisha hili agizo

neno "agizo" linaweza kuelezwa hivi "kitu gani nilichoagiza" AT:"kubadili kitu nilichoagiza" au "kusema kwamba nimeagiza kitu kingine kabisa"