sw_tn/ezk/38/01.md

354 B

Neno la Yahwe likaja

"Yahwe akanena neno lake."

Gogu

Hili ni jina la kiongozi au mfalme aliyetawala katika nchi ya Magogu.

nchi ya Magogu

Inaonyesha kwamba hii ni nchi ambayo Gogu alitawala.

Magogu

jina la zamani la taifa ambalo kwa sasa ni Uturuki.

kiongozi mkuu wa Mesheki na Tubali

Usemi huu umetokea mara mbili katika mistari hii.