sw_tn/ezk/38/01.md

20 lines
354 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Neno la Yahwe likaja
"Yahwe akanena neno lake."
# Gogu
Hili ni jina la kiongozi au mfalme aliyetawala katika nchi ya Magogu.
# nchi ya Magogu
Inaonyesha kwamba hii ni nchi ambayo Gogu alitawala.
# Magogu
jina la zamani la taifa ambalo kwa sasa ni Uturuki.
# kiongozi mkuu wa Mesheki na Tubali
Usemi huu umetokea mara mbili katika mistari hii.