# Neno la Yahwe likaja "Yahwe akanena neno lake." # Gogu Hili ni jina la kiongozi au mfalme aliyetawala katika nchi ya Magogu. # nchi ya Magogu Inaonyesha kwamba hii ni nchi ambayo Gogu alitawala. # Magogu jina la zamani la taifa ambalo kwa sasa ni Uturuki. # kiongozi mkuu wa Mesheki na Tubali Usemi huu umetokea mara mbili katika mistari hii.