sw_tn/ezk/37/15.md

743 B

neno la Yahwe likaja

"yahwe akanena neno lake." Tazama tafsiri yake katika sura ya 1:1.

mwanadamu

tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1.

Kwa ajili ya Yuda

"Inawakilisha Yuda"

Yuda

Kabila la Yda liliishi uapande wa utawala wa kuskazini mwa Israeli ambayo iliitwa Yuda. hapa hili jina limetumika kurejea ufalme wote wa kusini.

watu wa wote Israeli, wenzake

Hii inarejea kwa Waisraeli walioishi katika ufalme wa kusini mwa Yuda.

Efraimu

Kabila la Efraimu liliishi katika ufalme wa kusini mwa Israeli. Hapa hili jina limetumika kurejea ufalme wote wa kaskazini.

watu wote wa Israeli, wenzao

Hii inarejea kwa Waisraeli walioishi upande wa ufalme kaskazini mwa Israeli.

kwenye fimbo moja

"ili kwamba wawe fimbo moja"