sw_tn/ezk/37/15.md

32 lines
743 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# neno la Yahwe likaja
"yahwe akanena neno lake." Tazama tafsiri yake katika sura ya 1:1.
# mwanadamu
tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1.
# Kwa ajili ya Yuda
"Inawakilisha Yuda"
# Yuda
Kabila la Yda liliishi uapande wa utawala wa kuskazini mwa Israeli ambayo iliitwa Yuda. hapa hili jina limetumika kurejea ufalme wote wa kusini.
# watu wa wote Israeli, wenzake
Hii inarejea kwa Waisraeli walioishi katika ufalme wa kusini mwa Yuda.
# Efraimu
Kabila la Efraimu liliishi katika ufalme wa kusini mwa Israeli. Hapa hili jina limetumika kurejea ufalme wote wa kaskazini.
# watu wote wa Israeli, wenzao
Hii inarejea kwa Waisraeli walioishi upande wa ufalme kaskazini mwa Israeli.
# kwenye fimbo moja
"ili kwamba wawe fimbo moja"