# neno la Yahwe likaja "yahwe akanena neno lake." Tazama tafsiri yake katika sura ya 1:1. # mwanadamu tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1. # Kwa ajili ya Yuda "Inawakilisha Yuda" # Yuda Kabila la Yda liliishi uapande wa utawala wa kuskazini mwa Israeli ambayo iliitwa Yuda. hapa hili jina limetumika kurejea ufalme wote wa kusini. # watu wa wote Israeli, wenzake Hii inarejea kwa Waisraeli walioishi katika ufalme wa kusini mwa Yuda. # Efraimu Kabila la Efraimu liliishi katika ufalme wa kusini mwa Israeli. Hapa hili jina limetumika kurejea ufalme wote wa kaskazini. # watu wote wa Israeli, wenzao Hii inarejea kwa Waisraeli walioishi upande wa ufalme kaskazini mwa Israeli. # kwenye fimbo moja "ili kwamba wawe fimbo moja"