sw_tn/ezk/36/08.md

24 lines
574 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Huu ni mwendelezo wa ujumbe wa Yahwe kwa milima ya Israeli.
# mtachipuza matawi na kuzaa matunda
"miti yenu itachipuza matawi na kuzaa matunda."
# tazama
Neno "tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kinachofuata."
# nipo kwa ajili yenu
"nataka kufanya mambo mazuri kwenu" Neno "ninyi" linarejea kwa milima ya Israeli.
# na ninawatenda kwa fadhili
"nitakuwa mkarimu kwenu" (UDB)
# mtalimwa na kupandwa mbegu
"Watu wangu, watalima aridhi yako na kuipanda mbegu." Kulima inamaanisha kukata matuta katika aridhi ili kupanda mbegu katika hiyo.