sw_tn/ezk/36/08.md

574 B

Maelezo ya Jumla:

Huu ni mwendelezo wa ujumbe wa Yahwe kwa milima ya Israeli.

mtachipuza matawi na kuzaa matunda

"miti yenu itachipuza matawi na kuzaa matunda."

tazama

Neno "tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kinachofuata."

nipo kwa ajili yenu

"nataka kufanya mambo mazuri kwenu" Neno "ninyi" linarejea kwa milima ya Israeli.

na ninawatenda kwa fadhili

"nitakuwa mkarimu kwenu" (UDB)

mtalimwa na kupandwa mbegu

"Watu wangu, watalima aridhi yako na kuipanda mbegu." Kulima inamaanisha kukata matuta katika aridhi ili kupanda mbegu katika hiyo.