sw_tn/ezk/24/19.md

16 lines
301 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Watu wa Israeli wanamuuliza Ezekieli na Ezekieli anawaambia Yahwe alichowaambia.
# Neno la Yahwe likaja
"Yahwe akanena neno lake."
# kiburi cha nguvu zako
"kiburi katika kujenga kile ulicho kitengeneza"
# tamaa ya macho yakow
"kutengeneza kile ulichokufurahisha kukitazama"