# Maelezo ya Jumla: Watu wa Israeli wanamuuliza Ezekieli na Ezekieli anawaambia Yahwe alichowaambia. # Neno la Yahwe likaja "Yahwe akanena neno lake." # kiburi cha nguvu zako "kiburi katika kujenga kile ulicho kitengeneza" # tamaa ya macho yakow "kutengeneza kile ulichokufurahisha kukitazama"