sw_tn/ezk/24/19.md

301 B

Maelezo ya Jumla:

Watu wa Israeli wanamuuliza Ezekieli na Ezekieli anawaambia Yahwe alichowaambia.

Neno la Yahwe likaja

"Yahwe akanena neno lake."

kiburi cha nguvu zako

"kiburi katika kujenga kile ulicho kitengeneza"

tamaa ya macho yakow

"kutengeneza kile ulichokufurahisha kukitazama"