sw_tn/ezk/17/01.md

44 lines
796 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Ezekieli anasimulia ujumbe ambao aliopewa na Mungu.
# Neno la Yahwe likaja
"Yahwe akanena neno lake."
# Mwanadamu
Hii inamrejea Ezekieli. Hili neno ni mwanzo wa maneno ya Yahwe aliyoyanena kwa Ezekieli.
# tega kitendawili na sema fumbo
"toa fumbo kwao kufikiria"
# nyumba ya Israeli
Tazama tafsiri yake katika 3:1.
# Tai mkubwa
"tai mkubwa sana"
# vipapatio vya kuku, mwenye kujaa manyoya
Neno "kipapatio" linamaanisha mwisho wa nje ya mabawa. "mwishoni mwa mabawa yake kulijawa na mabawa na manyota."
# kulikuwa na rangi nyingi
Hii inamrejea tai.
# Akakata ncha za matawi
"Akavunja sehemu ndefu sana ya miti"
# kuyachukua
"kuchukua sehemu ya juu ya mti" au "chukua matawi"
# akaipanda katika mji wa wafanya biashara
Mfanya biashara ni mtu anayeuza vitu.