sw_tn/ezk/17/01.md

796 B

Maelezo ya Jumla:

Ezekieli anasimulia ujumbe ambao aliopewa na Mungu.

Neno la Yahwe likaja

"Yahwe akanena neno lake."

Mwanadamu

Hii inamrejea Ezekieli. Hili neno ni mwanzo wa maneno ya Yahwe aliyoyanena kwa Ezekieli.

tega kitendawili na sema fumbo

"toa fumbo kwao kufikiria"

nyumba ya Israeli

Tazama tafsiri yake katika 3:1.

Tai mkubwa

"tai mkubwa sana"

vipapatio vya kuku, mwenye kujaa manyoya

Neno "kipapatio" linamaanisha mwisho wa nje ya mabawa. "mwishoni mwa mabawa yake kulijawa na mabawa na manyota."

kulikuwa na rangi nyingi

Hii inamrejea tai.

Akakata ncha za matawi

"Akavunja sehemu ndefu sana ya miti"

kuyachukua

"kuchukua sehemu ya juu ya mti" au "chukua matawi"

akaipanda katika mji wa wafanya biashara

Mfanya biashara ni mtu anayeuza vitu.