# Maelezo ya Jumla: Ezekieli anasimulia ujumbe ambao aliopewa na Mungu. # Neno la Yahwe likaja "Yahwe akanena neno lake." # Mwanadamu Hii inamrejea Ezekieli. Hili neno ni mwanzo wa maneno ya Yahwe aliyoyanena kwa Ezekieli. # tega kitendawili na sema fumbo "toa fumbo kwao kufikiria" # nyumba ya Israeli Tazama tafsiri yake katika 3:1. # Tai mkubwa "tai mkubwa sana" # vipapatio vya kuku, mwenye kujaa manyoya Neno "kipapatio" linamaanisha mwisho wa nje ya mabawa. "mwishoni mwa mabawa yake kulijawa na mabawa na manyota." # kulikuwa na rangi nyingi Hii inamrejea tai. # Akakata ncha za matawi "Akavunja sehemu ndefu sana ya miti" # kuyachukua "kuchukua sehemu ya juu ya mti" au "chukua matawi" # akaipanda katika mji wa wafanya biashara Mfanya biashara ni mtu anayeuza vitu.