sw_tn/ezk/13/13.md

28 lines
699 B
Markdown

# upepo wa dhoruba ... mafuriko ya mvua ... Mvua ya mawe
Hizi sehemu zote ni dhoruba mbaya sana. Mungu anatumia dhoruba kurejea majeshi yatakayoiteka Yerusalemu.
# Nitaleta upepo wa dhoruba katika ghadhabu yangu
"wakati nitendapo ghadhabu yangu nitaleta upepo wa dhoruba"
# kutakuwa na mafuriko ya mvua kwenye ghadhabu yangu
"wakati nitendapo hasira yangu nitaleta kiasi kikubwa cha mvua"
# Mvua ya mawe katika ghadhabu yangu itauharibu kabisa
"Wakati nitendapo juu ya hasira yangu nitaleta mvua ya mawe kuharibu kuta wanaoujenga watu"
# kufunua
"isiyofunikwa"
# mtaangamizwa
"kuangamizwa kabisa"
# kujuwa kwamba mimi ndimi Yahwe
"kutambua kwamba mimi ndimi Yahwe, yule Mungu wa kweli"