# upepo wa dhoruba ... mafuriko ya mvua ... Mvua ya mawe Hizi sehemu zote ni dhoruba mbaya sana. Mungu anatumia dhoruba kurejea majeshi yatakayoiteka Yerusalemu. # Nitaleta upepo wa dhoruba katika ghadhabu yangu "wakati nitendapo ghadhabu yangu nitaleta upepo wa dhoruba" # kutakuwa na mafuriko ya mvua kwenye ghadhabu yangu "wakati nitendapo hasira yangu nitaleta kiasi kikubwa cha mvua" # Mvua ya mawe katika ghadhabu yangu itauharibu kabisa "Wakati nitendapo juu ya hasira yangu nitaleta mvua ya mawe kuharibu kuta wanaoujenga watu" # kufunua "isiyofunikwa" # mtaangamizwa "kuangamizwa kabisa" # kujuwa kwamba mimi ndimi Yahwe "kutambua kwamba mimi ndimi Yahwe, yule Mungu wa kweli"