sw_tn/ezk/13/13.md

699 B

upepo wa dhoruba ... mafuriko ya mvua ... Mvua ya mawe

Hizi sehemu zote ni dhoruba mbaya sana. Mungu anatumia dhoruba kurejea majeshi yatakayoiteka Yerusalemu.

Nitaleta upepo wa dhoruba katika ghadhabu yangu

"wakati nitendapo ghadhabu yangu nitaleta upepo wa dhoruba"

kutakuwa na mafuriko ya mvua kwenye ghadhabu yangu

"wakati nitendapo hasira yangu nitaleta kiasi kikubwa cha mvua"

Mvua ya mawe katika ghadhabu yangu itauharibu kabisa

"Wakati nitendapo juu ya hasira yangu nitaleta mvua ya mawe kuharibu kuta wanaoujenga watu"

kufunua

"isiyofunikwa"

mtaangamizwa

"kuangamizwa kabisa"

kujuwa kwamba mimi ndimi Yahwe

"kutambua kwamba mimi ndimi Yahwe, yule Mungu wa kweli"