sw_tn/ezk/12/14.md

12 lines
354 B
Markdown

# nitaleta upanga mbele yao
Neno "upanga" limetumika kurejea kwa jeshi la watu wanaobeba panga.
# wakati nitakapo watawanya kwenye nchi zote
Haya maneno mawili kimsingi yana maanisha kitu kimoja. "nitakapowafanya wasambaratike kila mmoja na kuishi katika mataifa tofauti tofauti."
# kutoka ule upanga
Neno "upanga" linarejea kuuawa katika kupigana.