sw_tn/ezk/12/14.md

354 B

nitaleta upanga mbele yao

Neno "upanga" limetumika kurejea kwa jeshi la watu wanaobeba panga.

wakati nitakapo watawanya kwenye nchi zote

Haya maneno mawili kimsingi yana maanisha kitu kimoja. "nitakapowafanya wasambaratike kila mmoja na kuishi katika mataifa tofauti tofauti."

kutoka ule upanga

Neno "upanga" linarejea kuuawa katika kupigana.