# nitaleta upanga mbele yao Neno "upanga" limetumika kurejea kwa jeshi la watu wanaobeba panga. # wakati nitakapo watawanya kwenye nchi zote Haya maneno mawili kimsingi yana maanisha kitu kimoja. "nitakapowafanya wasambaratike kila mmoja na kuishi katika mataifa tofauti tofauti." # kutoka ule upanga Neno "upanga" linarejea kuuawa katika kupigana.