sw_tn/ezk/12/04.md

16 lines
276 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Mungu ananena na Ezekieli kueleza jinsi atakavyotenda lile fumbo.
# katika uso wao
Neno "wao" inarejea kwa watu wa Israeli.
# Nyumba ya Israeli
Tazama tafsiri yake katika 3:16.
# nimekuweka kama ishara
"nimekuweka kama sahihisho kwa kufikiria kwao"