# Maelezo ya Jumla: Mungu ananena na Ezekieli kueleza jinsi atakavyotenda lile fumbo. # katika uso wao Neno "wao" inarejea kwa watu wa Israeli. # Nyumba ya Israeli Tazama tafsiri yake katika 3:16. # nimekuweka kama ishara "nimekuweka kama sahihisho kwa kufikiria kwao"