Maelezo ya Jumla:
Mungu ananena na Ezekieli kueleza jinsi atakavyotenda lile fumbo.
katika uso wao
Neno "wao" inarejea kwa watu wa Israeli.
Nyumba ya Israeli
Tazama tafsiri yake katika 3:16.
nimekuweka kama ishara
"nimekuweka kama sahihisho kwa kufikiria kwao"