sw_tn/exo/38/01.md

314 B

Maelezo ya Jumla

Bazaleli na kundi lake wanaendelea kujenga maskani na vifaa.

Naye akafanya ... Vyombo vyake vyote alivifanya kwa shaba

Kwa 38:1-3 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 27:1 na 27:3

Mikono

Mkona mmoja ni sentimita 46

Pembe zake zilitoka kwake

Hii yaweza andikwa tensi tendaji.