# Maelezo ya Jumla Bazaleli na kundi lake wanaendelea kujenga maskani na vifaa. # Naye akafanya ... Vyombo vyake vyote alivifanya kwa shaba Kwa 38:1-3 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 27:1 na 27:3 # Mikono Mkona mmoja ni sentimita 46 # Pembe zake zilitoka kwake Hii yaweza andikwa tensi tendaji.