sw_tn/exo/38/01.md

16 lines
314 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Bazaleli na kundi lake wanaendelea kujenga maskani na vifaa.
# Naye akafanya ... Vyombo vyake vyote alivifanya kwa shaba
Kwa 38:1-3 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 27:1 na 27:3
# Mikono
Mkona mmoja ni sentimita 46
# Pembe zake zilitoka kwake
Hii yaweza andikwa tensi tendaji.