sw_tn/exo/32/12.md

643 B

Maelezo ya Jumla

Musa anaendelea kujadiliana na Mungu asiharibu Israeli.

Kwa nini Wamisri kusema, 'Amewatoa ... kuwaondoa watoke juu ya uso wa nchi?'

Musa ametumia ili swali kumshawishi Mungu asiharibu watu wake.

uso wa nchi

"kutoka kwneye uso wa dunia" au "kutoka kwenye dunia"

Geuka katika hasira yako kali

"acha hasira yako kali" au "acha kuwa na hasira sana"

hasira yako kali

Musa anazungumzia hasira ya Mungu kana kwamba ni moto uliyo kuwa wa waka.

Mkumbuke Ibrahimu

"Fikiria kuhusu Ibrahimu"

kuwaambia

"alifanya nadhiri"

watairithi milele

Mungu anazungumzia kuhusu wao miliki nchi kana kwamba watairithi.