# Maelezo ya Jumla Musa anaendelea kujadiliana na Mungu asiharibu Israeli. # Kwa nini Wamisri kusema, 'Amewatoa ... kuwaondoa watoke juu ya uso wa nchi?' Musa ametumia ili swali kumshawishi Mungu asiharibu watu wake. # uso wa nchi "kutoka kwneye uso wa dunia" au "kutoka kwenye dunia" # Geuka katika hasira yako kali "acha hasira yako kali" au "acha kuwa na hasira sana" # hasira yako kali Musa anazungumzia hasira ya Mungu kana kwamba ni moto uliyo kuwa wa waka. # Mkumbuke Ibrahimu "Fikiria kuhusu Ibrahimu" # kuwaambia "alifanya nadhiri" # watairithi milele Mungu anazungumzia kuhusu wao miliki nchi kana kwamba watairithi.