sw_tn/exo/32/12.md

32 lines
643 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Musa anaendelea kujadiliana na Mungu asiharibu Israeli.
# Kwa nini Wamisri kusema, 'Amewatoa ... kuwaondoa watoke juu ya uso wa nchi?'
Musa ametumia ili swali kumshawishi Mungu asiharibu watu wake.
# uso wa nchi
"kutoka kwneye uso wa dunia" au "kutoka kwenye dunia"
# Geuka katika hasira yako kali
"acha hasira yako kali" au "acha kuwa na hasira sana"
# hasira yako kali
Musa anazungumzia hasira ya Mungu kana kwamba ni moto uliyo kuwa wa waka.
# Mkumbuke Ibrahimu
"Fikiria kuhusu Ibrahimu"
# kuwaambia
"alifanya nadhiri"
# watairithi milele
Mungu anazungumzia kuhusu wao miliki nchi kana kwamba watairithi.