sw_tn/exo/32/09.md

699 B

Mimi nimewaona watu hawa

Hapa Yahweh analinganisha kuwajua watu na kuwaona.

watu wenye shingo ngumu

Yahweh anaongelea watu kuwa wajehuri kana kwamba wana shingo ngumu.

Basi sasa

Neno "sasa" linatumika hapa kuweka pumziko kwa kile Yahweh alikuwa anamwambia Musa. Hapa Yahweh anasema nini ata wafanyia watu.

hasira zangu ziwake juu yao

Yahweh anazungumzia hasira yake kana kwamba ni moto unao weza waka sana.

wewe uwe

Neno "wewe" la husu Musa.

kwa nini hasira zako kuwaka juu ya watu wako

Musa alitumia ili swali kujaribu kumshawishi Yahweh asiwe na hasira sana na watu wake.

uweza mkuu ... mkono wenye nguvu

Hii mistari miwili ina maana moja na iwe ambatanishwa kwa mkazo.