# Mimi nimewaona watu hawa Hapa Yahweh analinganisha kuwajua watu na kuwaona. # watu wenye shingo ngumu Yahweh anaongelea watu kuwa wajehuri kana kwamba wana shingo ngumu. # Basi sasa Neno "sasa" linatumika hapa kuweka pumziko kwa kile Yahweh alikuwa anamwambia Musa. Hapa Yahweh anasema nini ata wafanyia watu. # hasira zangu ziwake juu yao Yahweh anazungumzia hasira yake kana kwamba ni moto unao weza waka sana. # wewe uwe Neno "wewe" la husu Musa. # kwa nini hasira zako kuwaka juu ya watu wako Musa alitumia ili swali kujaribu kumshawishi Yahweh asiwe na hasira sana na watu wake. # uweza mkuu ... mkono wenye nguvu Hii mistari miwili ina maana moja na iwe ambatanishwa kwa mkazo.