sw_tn/exo/27/14.md

768 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye.

Chandarua

Hii ilikuwa pazia lililo tengenezwa kwa kitambaa.

nguzo

Hizi zilikuwa vipande vigumu vya mbao vilivyo nyooshwa juu.

vitako

Hizi zilikuwa matofali ya chuma yenye nafasi ya kushikilia nguzo

dhiraa kumi na tano

kiasi cha mita saba

Na kwa lile lango la ua patakuwa na kisitiri cha dhiraa ishirini

Hii yaweza andikwa kama amri.

kitakuwa cha nguo ... kitani nzuri yenye kusokotwa, kazi ya mshonaji

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

buluu, zambarau na nyekundu, na kitani nzuri yenye kusokotwa

Maana inayo wezekana ni 1) "kitambaa kilicho tiwa buluu, zambarau, na nyekundu," 2) "buluu, zambarau, na nyekundu"

mshonaji

mtu anaye shona mishono kwenye nguo