# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye. # Chandarua Hii ilikuwa pazia lililo tengenezwa kwa kitambaa. # nguzo Hizi zilikuwa vipande vigumu vya mbao vilivyo nyooshwa juu. # vitako Hizi zilikuwa matofali ya chuma yenye nafasi ya kushikilia nguzo # dhiraa kumi na tano kiasi cha mita saba # Na kwa lile lango la ua patakuwa na kisitiri cha dhiraa ishirini Hii yaweza andikwa kama amri. # kitakuwa cha nguo ... kitani nzuri yenye kusokotwa, kazi ya mshonaji Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # buluu, zambarau na nyekundu, na kitani nzuri yenye kusokotwa Maana inayo wezekana ni 1) "kitambaa kilicho tiwa buluu, zambarau, na nyekundu," 2) "buluu, zambarau, na nyekundu" # mshonaji mtu anaye shona mishono kwenye nguo