sw_tn/exo/27/14.md

36 lines
768 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye.
# Chandarua
Hii ilikuwa pazia lililo tengenezwa kwa kitambaa.
# nguzo
Hizi zilikuwa vipande vigumu vya mbao vilivyo nyooshwa juu.
# vitako
Hizi zilikuwa matofali ya chuma yenye nafasi ya kushikilia nguzo
# dhiraa kumi na tano
kiasi cha mita saba
# Na kwa lile lango la ua patakuwa na kisitiri cha dhiraa ishirini
Hii yaweza andikwa kama amri.
# kitakuwa cha nguo ... kitani nzuri yenye kusokotwa, kazi ya mshonaji
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# buluu, zambarau na nyekundu, na kitani nzuri yenye kusokotwa
Maana inayo wezekana ni 1) "kitambaa kilicho tiwa buluu, zambarau, na nyekundu," 2) "buluu, zambarau, na nyekundu"
# mshonaji
mtu anaye shona mishono kwenye nguo