sw_tn/exo/23/18.md

391 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli.

Mafuta kutoka kwa dhabihu

Mafuta yalichomwa kama sadaka kwa Yahweh na hayakuliwa.

matunda ya kwanza bora

"bora na mazao ya kwanza ya mavuno"

Haupaswi kumchemsha mbuzi mtoto akiwa bado ananyonya

Hii ilikuwa zoezi la kishirikina miongoni mwa Wakanani, ambalo Waisraeli hawakuruhusiwa kushiriki.