# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli. # Mafuta kutoka kwa dhabihu Mafuta yalichomwa kama sadaka kwa Yahweh na hayakuliwa. # matunda ya kwanza bora "bora na mazao ya kwanza ya mavuno" # Haupaswi kumchemsha mbuzi mtoto akiwa bado ananyonya Hii ilikuwa zoezi la kishirikina miongoni mwa Wakanani, ambalo Waisraeli hawakuruhusiwa kushiriki.