sw_tn/exo/23/18.md

16 lines
391 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli.
# Mafuta kutoka kwa dhabihu
Mafuta yalichomwa kama sadaka kwa Yahweh na hayakuliwa.
# matunda ya kwanza bora
"bora na mazao ya kwanza ya mavuno"
# Haupaswi kumchemsha mbuzi mtoto akiwa bado ananyonya
Hii ilikuwa zoezi la kishirikina miongoni mwa Wakanani, ambalo Waisraeli hawakuruhusiwa kushiriki.