sw_tn/exo/22/01.md

36 lines
731 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa ajili ya watu wa Israeli.
# Kama mwizi akikutwa
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# anavunja ndani
"akitumia nguvu kuingia ndani ya nyumba"
# kama akipigwa na kufa
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# hakutakuwa na hatia ya mauaji hayatakuwa juu ya mtu yeyote
"hakuna atakaye kuwa na hatia ya kumuua"
# kama jua limechomoza kabla ya yeye kuvunja ndani
"kama kuna mwanga kabla hajaingia"
# hatia ya mauaji itakuwa juu ya aliyemuua.
"huyo mtu atakaye muua akatakuwa na hatia ya mauaji"
# lazima auzwe kwa uwizi wake
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# Kama mnyama amekutwa hai eneo lake
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.