# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa ajili ya watu wa Israeli. # Kama mwizi akikutwa Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # anavunja ndani "akitumia nguvu kuingia ndani ya nyumba" # kama akipigwa na kufa Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # hakutakuwa na hatia ya mauaji hayatakuwa juu ya mtu yeyote "hakuna atakaye kuwa na hatia ya kumuua" # kama jua limechomoza kabla ya yeye kuvunja ndani "kama kuna mwanga kabla hajaingia" # hatia ya mauaji itakuwa juu ya aliyemuua. "huyo mtu atakaye muua akatakuwa na hatia ya mauaji" # lazima auzwe kwa uwizi wake Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # Kama mnyama amekutwa hai eneo lake Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.