sw_tn/exo/22/01.md

731 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa ajili ya watu wa Israeli.

Kama mwizi akikutwa

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

anavunja ndani

"akitumia nguvu kuingia ndani ya nyumba"

kama akipigwa na kufa

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

hakutakuwa na hatia ya mauaji hayatakuwa juu ya mtu yeyote

"hakuna atakaye kuwa na hatia ya kumuua"

kama jua limechomoza kabla ya yeye kuvunja ndani

"kama kuna mwanga kabla hajaingia"

hatia ya mauaji itakuwa juu ya aliyemuua.

"huyo mtu atakaye muua akatakuwa na hatia ya mauaji"

lazima auzwe kwa uwizi wake

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

Kama mnyama amekutwa hai eneo lake

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.