sw_tn/exo/17/01.md

16 lines
434 B
Markdown

# nyikani ya Sinu
Neno "Sinu" hapa ni jina la Kiebrania la nyikani. Sio neno la kiengereza lenye maana ya "dhambi"
# Refidimu
Hii ina maana ya "sehemu ya kupumzika" sehemu ya kupumzika katika safari ndefu nyikani.
# Kwanini mnagombana na mimi? Kwanini mnajaribu Yahweh?
Musa anatumia haya maneno kukemea watu.
# Ili utuue sisi na watoto wetu na mifugo yetu kwa kiu?
Watu wanatumia hili swali kumshitaki Musa kwa kutaka kuwaua.