# nyikani ya Sinu Neno "Sinu" hapa ni jina la Kiebrania la nyikani. Sio neno la kiengereza lenye maana ya "dhambi" # Refidimu Hii ina maana ya "sehemu ya kupumzika" sehemu ya kupumzika katika safari ndefu nyikani. # Kwanini mnagombana na mimi? Kwanini mnajaribu Yahweh? Musa anatumia haya maneno kukemea watu. # Ili utuue sisi na watoto wetu na mifugo yetu kwa kiu? Watu wanatumia hili swali kumshitaki Musa kwa kutaka kuwaua.