sw_tn/exo/17/01.md

434 B

nyikani ya Sinu

Neno "Sinu" hapa ni jina la Kiebrania la nyikani. Sio neno la kiengereza lenye maana ya "dhambi"

Refidimu

Hii ina maana ya "sehemu ya kupumzika" sehemu ya kupumzika katika safari ndefu nyikani.

Kwanini mnagombana na mimi? Kwanini mnajaribu Yahweh?

Musa anatumia haya maneno kukemea watu.

Ili utuue sisi na watoto wetu na mifugo yetu kwa kiu?

Watu wanatumia hili swali kumshitaki Musa kwa kutaka kuwaua.