sw_tn/exo/15/24.md

16 lines
390 B
Markdown

# wakamlalamikia Musa na kusema
"hawakufurahi na kumwambia Musa" au "kwa hasira wa kamwambia Musa"
# sauti ya Yahweh Mungu wako
Yahweh anazungumza kuhusu sauti yake.
# kufanya yalio sahihi machoni pake
Maneno "machoni pake" hapa ya wakilisha kile Mungu alicho amini au kuamua.
# sitawaekea ninyi magonjwa
Mungu anaongea kusababisha watu kuwa na magonjwa kam kuweka magonjwa juu yao.